Royal Media engagement report
@royalmediatz - 322K followers on X
Measured over 39 original posts from a 30-day window, last computed on September 4, 2026.
Engagement
A typical post picks up 56 interactions against 322K followers, an engagement rate of 0.017%. Measured over 39 original posts, its engagement rate beats 32% of 6,874 tracked accounts of a similar size, which puts it in the middle of its size range rather than at either end. Posts are seen about 4.8K times each, and 1.17% of those impressions turn into an interaction. That is about 1.49% of the follower count, which is the gap between an audience on paper and an audience in a timeline. Posting runs at about 1.3 post a day over the last 30 days, though only 17% of days saw any activity at all. Most posts go out around 05:00 UTC, and Wednesday is the busiest day of the week. Of the 39 posts sampled, 97% carry an image or video. The account's strongest tracked post pulled 549 interactions, about 9.8x its own typical post.
Measured over 39 original posts from a 30-day window, last computed on September 4, 2026.
Compared with accounts its own size
Royal Media's engagement rate beats 32% of the tracked X accounts closest to it in follower count (6,874 accounts, accounts of similar size (decile 7 of 10)). A percentile is spread evenly by construction, so 50 really is the middle of that group and 90 really is its top tenth.
On engagement per impression rather than per follower it beats 51% of the same group. When those two numbers disagree, the gap is about how far its posts travel rather than how people react to them.
Where this sits in the catalog
At 0.017%, Royal Media sits above the 25th percentile of the 65,980 accounts in this comparison. That places it in the below the median band, which runs 0.016% to 0.1%.
Show the percentile table
| Percentile | Engagement rate |
|---|---|
| 10th percentile | 0.002% |
| 25th percentile | 0.016% |
| 50th percentile | 0.1% |
| 75th percentile | 0.499% |
| 90th percentile | 2.09% |
| 99th percentile | 120.0% |
This ruler is the whole measured catalog, not a size-matched group: it shows where the raw rate falls across every account we can measure, all of which are large. For a like-for-like comparison, read the size-band percentile above instead. See how the bands are built
Posting timing
This account posts most often around 05:00 UTC, and Wednesday is its busiest day of the week. The bars below are the catalog-wide pattern, with this account's own busiest slot marked. They do not show how this account performs at each hour: we keep one aggregate per account, not one per hour, so that measurement does not exist in our data.
Show engagement by hour posted, utc as a table
| Hour (UTC) | Vs author median | Posts |
|---|---|---|
| 00:00 UTC | -1% | 89K |
| 01:00 UTC | -2% | 90K |
| 02:00 UTC | -3% | 88K |
| 03:00 UTC | -4% | 94K |
| 04:00 UTC | -5% | 76K |
| 05:00 UTC | -4% | 75K |
| 06:00 UTC | -5% | 86K |
| 07:00 UTC | -5% | 93K |
| 08:00 UTC | -4% | 108K |
| 09:00 UTC | -4% | 124K |
| 10:00 UTC | -3% | 129K |
| 11:00 UTC | -3% | 141K |
| 12:00 UTC | -3% | 154K |
| 13:00 UTC | -3% | 167K |
| 14:00 UTC | -4% | 173K |
| 15:00 UTC | -2% | 176K |
| 16:00 UTC | -3% | 171K |
| 17:00 UTC | -3% | 159K |
| 18:00 UTC | -2% | 149K |
| 19:00 UTC | -2% | 141K |
| 20:00 UTC | -1% | 131K |
| 21:00 UTC | 0% | 116K |
| 22:00 UTC | -2% | 100K |
| 23:00 UTC | -1% | 90K |
Show engagement by day of week as a table
| Day | Vs author median | Posts |
|---|---|---|
| Sunday | +5% | 393K |
| Monday | +1% | 483K |
| Tuesday | -2% | 520K |
| Wednesday | -3% | 472K |
| Thursday | -2% | 430K |
| Friday | -3% | 447K |
| Saturday | +2% | 393K |
Formats this account uses
Its own posting mix on the left, and what each of those formats does across every account we track on the right. Only formats where the effect clears our publish test appear here, so an empty row is a format we could not measure rather than one that does nothing.
| Format | This account | Catalog effect | 95% interval | Accounts behind it |
|---|---|---|---|---|
| Image or video | 97% of posts | +111% | +108% to +115% | 34K |
| Outbound link | 0% of posts | -41% | -42% to -40% | 32K |
| Typical length | - | +15% | +14% to +16% | 32K |
- 97% of this account's sampled posts carry an image or video. Across the catalog, posts with an image or video run 111% above the same accounts' other posts.
- 0% of its posts carry a link off X. Across the catalog, posts with an outbound link run 41% below the same accounts' other posts.
- Its average post runs 1686 characters, which falls in the over 280 characters band. Across the catalog, posts over 280 characters run 15% above the same accounts' other posts.
These are catalog-wide differences applied to this account's own posting mix, not a measurement of how each format performs for this account specifically. We keep one median per account, not one per format per account, so the second thing is not something this data can tell you.
Best tweets
- Sep 2, 20269.8x their median
Wanaharakati nchini Kenya wamepanga kufanya maandamano ya kitaifa Alhamisi, Septemba 3, 2026, wakilalamikia kile wanachokieleza kuwa ni kuongezeka kwa ukandamizaji dhidi ya viongozi wa upinzani katika nchi za Afrika Mashariki, huku wakimtaja Kiongozi wa CHADEMA Tanzania, Tundu Lissu na Dkt. Kizza Besigye wa Uganda. Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Kenya, huku Nairobi yakilenga maeneo ya katikati ya jiji, ikiwamo Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Mambo ya Ndani. Kwa mujibu wa wanaharakati hao, suala la Besigye limekuwa mfano wa wasiwasi mpana kuhusu namna viongozi na wanachama wa upinzani wanavyoshughulikiwa katika ukanda huo. Mwanaharakati wa Kenya Muteti Mulingi alimtaja Lissu pamoja na Besigye na viongozi wengine wa upinzani kutoka Zambia, Rwanda na Sudan, akisema matukio yao yanaonesha changamoto zinazoendelea ndani ya jumuiya ya Afrika. Hata hivyo, kiini kikubwa cha maandamano hayo ni kesi ya Besigye ambaye wanaharakati wanadai alitekwa akiwa Nairobi, Kenya, Novemba 2024, kisha kuhamishiwa Uganda ambako alifikishwa katika Mahakama ya Kijeshi na baadaye kukabiliwa na mashtaka katika mfumo wa mahakama za kiraia. Wanaharakati hao wanaitaka Serikali ya Kenya kutoa maelezo kamili kuhusu mazingira ya kuondolewa kwa Besigye nchini humo, wakidai kuwa hatua hiyo ilifanyika bila kufuata taratibu za kawaida za kisheria za kumrejesha mtu nchini mwingine. Suala hilo limeibua mjadala mkubwa baada ya Serikali ya Kenya kukiri kuwa ilishirikiana na mamlaka za Uganda katika uhamisho wa Besigye. Wanaharakati wanataka uchunguzi huru kubaini nani aliomba, aliyeidhinisha, aliyewezesha na kuhusika katika operesheni hiyo. Mbali na kudai kuachiliwa kwa Besigye, waandamanaji wanataka apelekwe nje ya nchi kwa ajili ya matibabu maalumu, pamoja na kulipwa fidia na kufanyika uchunguzi kamili kuhusu madai ya ukandamizaji wa kisiasa unaovuka mipaka ya nchi. Wasiwasi wao umeongezeka kutokana na hali ya afya ya Besigye, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, alianguka wakati wa kesi yake ya uhaini Julai 29, 2026 na kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi. Baadaye alirejeshwa gerezani huku taarifa zikieleza kuwa afya yake iliendelea kuwa dhaifu. Wanaharakati pia wanaitaka Serikali ya Kenya kutumia njia za kidiplomasia na kisheria kuhakikisha Besigye anaachiwa na kupata matibabu anayohitaji. Mwanaharakati Hussein Khalid, Mkuu wa Vocal Africa, amesema suala hilo linapaswa kuangaliwa kwa mtazamo wa sheria za kimataifa, akitaja kanuni ya non-refoulement, inayozuia nchi kumhamisha mtu kwenda mahali ambako anaweza kukabiliwa na mateso, mateso ya kikatili au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Kwa upande mwingine, wanaharakati hao wameeleza kuwa suala la Besigye haliwezi kutenganishwa na mjadala mpana kuhusu hali ya demokrasia na haki za kisiasa katika ukanda wa Afrika Mashariki, jambo lililowafanya kuwataja pia viongozi wengine wa upinzani, akiwamo Tundu Lissu. Maandamano hayo yanatarajiwa kuwa jaribio jingine la wanaharakati wa Kenya kushinikiza uwajibikaji wa serikali kuhusu kile wanachodai kuwa ni ukandamizaji wa kisiasa unaovuka mipaka ya nchi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
- Sep 2, 20267.1x their median
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu amewataka wote wanaodai kuwa Chadema kwasasa ni chama cha wafuga nywele "Rastafarai" wanapaswa kusoma historia za wapigania uhuru kote duniani kabla ha kumshambulia na kuwashambulia wote wanaowasema baadhi ya Viongozi na wanachama wanaofuga nywele zao kwa kile walichosema ni kuunga mkono muonekano wa Lissu. Lissu ameyasema hayo leo wakati akijibu swali la Deogratius Mahinyila, Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama hicho wakati kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ilipotajwa leo kwenye Mahakama kuu, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam.
- Sep 2, 20266.1x their median
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema umaskini, ujinga, urasimu na tabia ya baadhi ya watumishi wa vyombo vya utoaji haki kujiona kuwa hawawezi kukosea ni miongoni mwa vikwazo vinavyomomonyoa imani ya wananchi kwa Mahakama. Askofu Bagonza amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook, akitoa maoni kuhusu kauli ya Jaji Mkuu George Masaju kwamba Mahakama haitaruhusu watu kuidharau taasisi hiyo. Amesema pamoja na kumpongeza Jaji Mkuu kwa jitihada zake, anapaswa kutambua kuwa tatizo kubwa linalowakabili wananchi si kuidharau Mahakama, bali ni imani ndogo waliyonayo kwa mhimili huo. Kwa mujibu wa Askofu Bagonza, wananchi wa kawaida hawawezi kuidharau Mahakama kwa kuwa wanaendelea kuiheshimu na kuiogopa, huku utitiri wa kesi na subira kubwa wanayoonyesha katika kusubiri haki ikiwa ni ushahidi kwamba bado wanaipa heshima taasisi hiyo. Amesema tatizo linapotokea ni pale haki inapocheleweshwa au wananchi wanapokosa imani kwamba wanaweza kuipata haki kupitia mfumo wa Mahakama. Amesema baadhi ya wananchi wamefikia hatua ya kujichukulia sheria mkononi au kutafuta fedha ili kununua haki zao, akisisitiza kuwa kutoiamini Mahakama ni tofauti na kuidharau. Kwa mtazamo wake, juhudi za kurejesha imani ya wananchi zinapaswa kupewa uzito zaidi kuliko kutoa kauli za kuwaonya wananchi dhidi ya kuidharau Mahakama. Askofu Bagonza amemtaka Jaji Mkuu kusimama upande wa wananchi wanaolipa kodi zinazoendesha Mahakama, badala ya kulinda watendaji wanaoweza kuwa chanzo cha wananchi kukata tamaa. Amesema urasimu, umaskini, ujinga na hali ya baadhi ya watumishi kujiona kuwa wao ni muhimu kiasi cha kutoweza kukosea vinaweza kuidhalilisha Mahakama na kuongeza pengo la imani kati yake na wananchi. Aidha, Askofu Bagonza amemtaka Jaji Mkuu kutoiogopa dhana ya “judicial activism”, akisema heshima na fahari ya Mahakama mahali popote hutokana na taasisi hiyo kuchukua msimamo imara katika kutetea ukuu wa Katiba, sheria na haki za wananchi. Amesema Jaji Mkuu hapaswi kuona aibu kuitwa mwanaharakati pale anapotetea uhuru wa Mahakama. Amesisitiza kuwa katika mazingira ambayo mihimili ya Mahakama na Bunge inaweza kuwa dhaifu, Mahakama ina jukumu kubwa la kutetea upekee na uhuru wake bila kujali madhara au gharama zinazoweza kujitokeza. Amesema wanaoikosoa au kuibana Mahakama leo wanaweza kuwa wateja wa taasisi hiyo kesho na kuhitaji Mahakama huru na inayotenda haki. Mwisho, Askofu Bagonza amemtaka Jaji Mkuu kuendelea kulinda utakatifu, uhuru na weledi wa Mahakama, akimwomba asiogope kuitwa mwanaharakati wala kuona aibu kutetea uhuru wa Mahakama, ambayo amesema ni kimbilio la wanyonge wengi. Pia amemtaka kuepuka kulinda dhana ya kwamba Mahakama haiwezi kukosea, badala yake aelekeze nguvu katika kulinda uhuru wa Mahakama.
- Sep 2, 20264.6x their median
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hataki suala la kutembelewa usiku akiwa gerezani, akisisitiza kuwa yuko tayari kuendelea kukabiliana na hali hiyo hadi haki itakapopatikana. Lissu ametoa kauli hiyo leo Septemba 2, 2026, wakati akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili katika Mahakama Kuu. Amesema hatakata tamaa katika harakati zake za kutafuta haki, huku akisisitiza kutotaka kutembelewa usiku akiwa gerezani.
- Sep 3, 20264.2x their median
Rais wa zamani wa Seneti ya Madagascar, Jenerali mstaafu Richard Ravalomanana, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 cha kazi ngumu baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika katika mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano ya vijana ya Gen Z yaliyotikisa nchi hiyo mwaka 2025. Ravalomanana, ambaye alikuwa mshirika wa karibu wa aliyekuwa Rais Andry Rajoelina, ametiwa hatiani kwa kosa la kuhusika katika mauaji baada ya waendesha mashtaka kumtuhumu kutoa maelekezo kwa vyombo vya usalama kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji katika maandamano yaliyoanza Septemba na Oktoba mwaka jana. Maandamano hayo yalianza kutokana na hasira za wananchi kuhusu kukatika kwa umeme na uhaba wa maji, lakini baadaye yaligeuka kuwa vuguvugu kubwa la kumpinga Rajoelina. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari nchini humo, watu wasiopungua 22 waliuawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa wakati wa machafuko hayo. Shinikizo la maandamano hayo lilisababisha mzozo mkubwa wa kisiasa ambao hatimaye ulipelekea kuondolewa madarakani kwa Rajoelina na kuanzishwa kwa utawala mpya unaoongozwa na Kanali Michael Randrianirina. Ravalomanana, ambaye wakati huo alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya kikosi cha gendarmerie kilichoongoza operesheni za kukabiliana na maandamano, aliondolewa katika nafasi ya Rais wa Seneti Oktoba 2025. Hata hivyo, Ravalomanana amekana kuhusika katika mauaji hayo na ametangaza kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo. Wakili wake amehoji ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, akisema hakuna ushahidi wa maandishi au wa maelekezo ya mdomo unaothibitisha kwamba maafisa wa polisi, gendarmerie au wanajeshi walipewa amri na mteja wake. Katika kesi hiyo, aliyekuwa mkuu wa polisi nchini Madagascar pia alitoa ushahidi uliomuunga mkono Ravalomanana, akisema jenerali huyo hakuwa sehemu ya mnyororo wa uongozi wa operesheni na hakutoa amri kwa vikosi vya usalama vilivyokuwa vikipambana na waandamanaji. Ravalomanana alikamatwa Desemba 2025 nyumbani kwake baada ya kushindwa kuitikia wito wa gendarmerie na baadaye kuwekwa katika mahabusu katika gereza lenye ulinzi mkali la Imerintsiatosika, nje ya mji mkuu Antananarivo, ambako amekuwa kwa takribani miezi saba. Mbali na kesi ya mauaji, Ravalomanana pia anakabiliwa na uchunguzi mwingine unaohusiana na tuhuma za rushwa. Mahakama iliondoa shtaka jingine la kutoa tishio la kifo baada ya kuamua kuwa muda wa kisheria wa kulifuatilia ulikuwa umepita. Ravalomanana, ambaye alijulikana kwa kuvaa kofia aina ya cowboy pamoja na sare za kijeshi zilizopambwa kwa nishani, alikuwa akionekana na waandamanaji kama moja ya alama za utawala wa Rajoelina. Hukumu yake sasa imeongeza orodha ya viongozi wa zamani wa serikali hiyo wanaokabiliwa na hatua za kisheria tangu mabadiliko ya madaraka nchini Madagascar.
- Sep 3, 20264.1x their median
Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amesema maamuzi yaliyofanywa na Kamati kuu na Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kumfuta uanachama aliyekuwa Mwanachama na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Emmanuel John Nchimbi yalikuwa maamuzi sahihi kwa mustakabali wa CCM madhubuti, yenye nidhamu, yenye kuheshimu katiba yake na yenye kanuni ya kumtaka kila Mwanachama kutanguliza mbele maslahi ya Chama hicho badala ya maslahi binafsi. "Sasa kwa kile ambacho ndugu Emmanuel Nchimbi, aliyekuwa Makamu wa Rais, baada ya kuitwa kwenye kamati ya maadili akapuuza wito, na hatua ambayo tulichukua na mimi nikiwa mmoja wao, nimekuja mbele yenu kuwaambia kuwa tulikuwa sahihi, na niwaombe tuyaunge mkono kwasababu yanapokuja masuala ya nidhamu ndani ya CCM na tukaleta mzaha ndipo kufa kwa chama chetu kwasababu chama hiki hakipo tu kwaajili yetu, ni chama tutakachokirithisha vizazi na vizazi." Amesema wakati akizungumza na wanachama wa Chama hicho Jimboni kwake.
- Sep 3, 20263.4x their median
"Hawezi kulipa gharama kubwa kiasi hicho, halafu mwisho wa safari akubali kubadilisha damu, maumivu na matumaini ya Watanzania kuwa bidhaa ya biashara ya kisiasa" amesema Mchungaji Peter Saimon Msigwa, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini wakati akizungumzia msimamo wa Tundu Lissu kuhusu suala la kuendelea kwake kuwa gerezani. Msigwa amesema kwa Lissu, kutoka gerezani pekee si ushindi, bali ushindi ni kutoka bila kuisaliti dhamiri yake, kuwasaliti Watanzania wala kuhalalisha mfumo alioupinga kwa maisha yake yote. Msigwa amesisitiza kuwa kauli ya Lissu mahakamani kwamba yuko tayari kuendelea kukaa gerezani mpaka haki ipatikane si kauli ya mtu aliyekata tamaa, bali ni msimamo wa mtu anayeamini kuwa kuna mambo makubwa kuliko uhuru wake binafsi. Amesema Lissu amekataa kutembelewa gerezani usiku na amepinga kile alichokiita vikao vya gizani, akisisitiza kuwa hataki uhuru unaotokana na makubaliano yasiyojulikana kwa wananchi. Amebainisha kuwa msimamo huo unapaswa kuangaliwa kwa kuzingatia gharama ambazo Lissu amewahi kuzilipa katika harakati zake za kisiasa, akitaja kupigwa risasi, kuishi uhamishoni na kusimamia msimamo wa “No Reforms, No Election”. Kwa mujibu wa Msigwa, Lissu pia amekuwa akikataa kunyamaza katika nyakati ambazo wengine waliogopa, hivyo hawezi sasa kubadilisha maumivu na matumaini ya Watanzania kuwa sehemu ya biashara ya kisiasa. Msigwa amesema kwa mtazamo wa Lissu, kufunguliwa kutoka gerezani pekee si ushindi, bali ushindi wa kweli ni kupata uhuru bila kuisaliti dhamiri yake. Amesema msimamo huo unaonyesha kwamba Lissu anaona tofauti kati ya kufunguliwa mlango wa gereza na kuipatia nchi haki, akisisitiza kuwa mtu anaweza kuwa nje ya gereza lakini bado akawa amefungwa katika dhamiri yake. Akirejea kauli ya mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King Jr. kwamba mtu ambaye hajagundua jambo analoweza kufa kwa ajili yake bado hajagundua maana kamili ya kuishi, Msigwa amesema Lissu ameonyesha kuwa si kila mtu anaweza kununuliwa kwa ahadi ya uhuru, cheo au usalama. Amesema mwili wa mtu unaweza kufungwa, lakini mawazo na dhamiri yake haviwezi kufungwa kwa urahisi. Msigwa pia amewakosoa wanaodai kuwa John Heche ndiye anayemchelewesha Lissu kutoka gerezani, akiwataka kuacha kile alichokiita siasa za udalali. Amesema aibu haipaswi kuwa kwa mtu aliyeko gerezani kwa kusimamia anachokiamini, bali kwa watawala wanaotumia gereza, vitisho na vikao vya gizani katika kujibu hoja za kisiasa. Akiandika kupitia mtandao wake wa X leo Alhamisi, Septemba 3, 2026, Msigwa amesema historia haitakumbuka tu kwamba Lissu alifungwa, bali itauliza alifungwa kwa sababu gani, alisimamia nini na wale waliomweka gerezani walikuwa wanaogopa nini. Amehitimisha kwa kusema: “Huu si ukaidi. Huu ni uaminifu kwa dhamiri; huu si ubinafsi, ni upendo kwa taifa; huu si udhaifu, ni ujasiri wa kukataa kuuza mapambano mezani gizani.”
- Sep 1, 20263.1x their median
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Godbless Lema, wamelitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa kuhusu alipo mwanaharakati na mwanachama wa chama hicho, Godlisten Malisa pamoja na sababu za kushikiliwa kwake. Malisa anadaiwa kukamatwa Agosti 31, 2026, muda mfupi baada ya kuwasili katika eneo la Namanga akitokea Kenya, huku taarifa za awali zikidai kuwa alichukuliwa na gari aina ya Double Cabin isiyokuwa ya Jeshi la Polisi. Akizungumzia suala hilo leo, Septemba 1, 2026, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Heche amehoji mazingira ya kukamatwa kwa Malisa na kutaka kufahamika kituo cha Polisi alichopo ikiwa anashikiliwa na Polisi ili ndugu, marafiki, mawakili na wanachama wenzake waweze kumfikia kwa mujibu wa sheria. Heche amesema Malisa alikuwa akisafiri kutoka Marekani ambako alikuwa amekaa kwa zaidi ya miezi tisa, na kwamba baada ya kukwama Nairobi kutokana na mgomo wa wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, alisafiri kwa njia ya barabara hadi Namanga ili kuingia Tanzania kupitia Arusha. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Wakili Dickson Matata, Malisa alipofika Namanga alifika katika ofisi za Uhamiaji kwa ajili ya taratibu za kuingia nchini, lakini maafisa walimweleza kuwa hati yake ya kusafiria haikusomeka kwenye mfumo na kwamba walihitaji kusubiri mkuu wao ili kutatua changamoto hiyo. Wakili Matata alidai kuwa baadaye Malisa alichukuliwa na gari jeupe aina ya Double Cabin, ambalo alisema halikuwa gari la Polisi. Taarifa hiyo ilisema simu za Malisa zilizimwa na hadi wakati wa kutolewa kwa taarifa hiyo haikufahamika alikokuwa. Akitoa maoni yake kupitia mtandao wa X, Lema amemlenga Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), akimtaka kutoa taarifa ya wazi kuhusu alipo au sababu za kushikiliwa kwake. Lema amesema kushikiliwa kwa Malisa kunaweza kuongeza taharuki, kuvuruga imani ya wananchi kwa Jeshi la Polisi na kuitia taasisi hiyo katika mazingira ya kukosolewa na umma. Amesema Jeshi la Polisi linapaswa kuwa chombo cha kutuliza hofu na kujenga imani kwa wananchi, badala ya kuacha wananchi wakibahatisha hatma ya mtu aliyekamatwa. Kwa mtazamo wake, usiri usio na sababu unaweza kuongeza mashaka miongoni mwa wananchi, huku akionya kuwa mashaka yakiachwa kukua yanaweza kuwa na gharama kubwa kwa Taifa. Kauli za Heche na Lema zimekuja wakati suala la Malisa likiendelea kuzua mjadala kwenye mitandao ya kijamii, huku wito mkubwa ukiwa kwa mamlaka husika kutoa taarifa rasmi kuhusu alipo, sababu za kushikiliwa na hatua za kisheria zinazochukuliwa dhidi yake.
- Sep 3, 20262.7x their median
Vijana wanne wa Umoja wa Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Vyuo na Vyuo Vikuu (CHASO), wanaoshikiliwa katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya kwa tuhuma za makosa ya ugaidi, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani leo, Septemba 3, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi zao katika Mahakama Kuu ya Mbeya. Taarifa hiyo imetolewa na Wakili Gaston Garubindi, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, ambaye amesema jana alitembelea vijana hao gerezani na kujionea hali zao. Garubindi amesema vijana hao wana afya njema na amewafahamisha kuwa chama kimeelekeza yeye pamoja na mawakili wengine kuhakikisha wanapata utetezi wa kisheria kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kesi zao. Vijana hao ni Noah Mwalwange, anayesoma Project Planning and Management for Community Development; Gwamaka Mboka, anayesoma Mechanical Engineering; Augustino Wasinyo, anayesoma Bachelor of Laws (LL.B); na Rojas Mpani, anayesoma Bachelor of Arts in Social Work. Garubindi amesema alipata maelezo ya kina kutoka kwa vijana hao ambayo, kwa sasa, ameeleza kuwa hayawezi kuwekwa hadharani kwa kuwa yatatumika katika maandalizi ya utetezi wao. Mbali na vijana hao, Garubindi amesema alizungumza pia na mwanachama mwingine wa CHADEMA, Jasiri Mwasumbi, ambaye ni dereva wa bodaboda. Kwa mujibu wa Garubindi, Mwasumbi alikodiwa na askari Polisi na kuombwa ampeleke katika Kituo cha Polisi Meta, lakini baadaye akakamatwa na kushikiliwa. Pia amesema amepata maelezo kutoka kwa mwanachama mwingine, Daniel Philemon, aliyekamatwa wilayani Chunya na kufunguliwa kesi huko, lakini sasa anashikiliwa Gereza la Ruanda. Garubindi amesema awali Philemon alikabiliwa na makosa ya kimtandao kabla ya baadaye kufunguliwa shtaka la ugaidi. Garubindi amewataka wakazi wa Mbeya, pamoja na watu anaowataja kuwa marafiki wa haki na demokrasia, kufika Mahakama Kuu leo wakati vijana hao na Mwasumbi watakapofikishwa kwa ajili ya kutajwa kwa kesi zao. Amesema CHADEMA itaendelea kuwafikia wanachama wanaokabiliwa na kesi hizo na kupambana kisheria kuhakikisha wanapata utetezi, akisisitiza kuwa chama kitaendelea kutumia nguvu ya umma katika harakati hizo.
- Sep 2, 20262.3x their median
Mwandishi wa habari Luqman Maloto amemkosoa Jaji Mstaafu Joseph Warioba kwa kile alichodai kuwa amejijenga zaidi kama mkosoaji wa Serikali kuliko mshauri na mpatanishi anayetarajiwa kuwaunganisha Watanzania katika kipindi hiki cha changamoto za kisiasa nchini. Maloto, katika makala yake ya Kona ya Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji watu wenye uwezo wa kusimama katikati ya pande zinazokinzana ili kusaidia nchi kupata suluhu. Amesema kwa nafasi aliyowahi kushika kama Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Warioba ana hadhi ya 'Statesman' inayombeba kuwa mshauri na mpatanishi wa viongozi na taifa kwa ujumla. Kwa mujibu wa Maloto, Warioba amekuwa akionekana zaidi akikosoa uongozi uliopo madarakani, hali ambayo, kwa mtazamo wake, inaweza kumfanya apoteze nafasi ya kuaminika kama mshauri. Amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza baadhi ya mambo mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP). Maloto pia amemkosoa Warioba kwa kauli zake kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025, akidai kuwa alitumia idadi ya vifo iliyokuwa ikizunguka kwenye mitandao ya kijamii bila kuwa takwimu rasmi. Amesema kwa hadhi ya Warioba, alipaswa kuwa makini zaidi katika kutumia taarifa hizo, hasa wakati taifa lilikuwa linapitia kipindi nyeti. Aidha, Maloto amerejea kauli ya Warioba baada ya kukutana na Rais Samia tarehe 17 Desemba 2025, ambapo baadaye alizungumza kuhusu madai ya mgawanyiko ndani ya Jeshi la Polisi, akisema taarifa hizo alizipata kutoka kwa askari wawili wa usalama barabarani. Maloto amehoji uhalali wa kujenga hitimisho la hali ya chombo cha usalama kwa msingi wa taarifa ya aina hiyo na kisha kuiwasilisha hadharani. Maloto amesema 'Statesman' hapaswi kujifunga upande mmoja wa kisiasa, bali anapaswa kubaki katika nafasi inayomwezesha kuaminika na pande zote, ili pale kunapotokea mvutano aweze kusaidia kuleta mazungumzo na maridhiano. Amesisitiza kuwa Warioba, kwa nafasi yake, anapaswa kutumia uzoefu wake kuhakikisha Tanzania inapata njia ya kutoka katika migawanyiko badala ya kuongeza mvutano. Akimnukuu Winston Churchill kwamba ukosoaji ni muhimu, Maloto amesema wakosoaji wanahitajika katika taifa, lakini amesisitiza kuwa ukosoaji wenye tija unapaswa kuambatana na dhamira ya kusaidia. Kwa mtazamo wake, Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 inahitaji zaidi *Statesmen* watakaosaidia kuponya taifa kupitia mazungumzo na maridhiano, huku akisema jambo la msingi linapaswa kuwa Tanzania ishinde, si upande mmoja wa kisiasa.
Ranked by total interactions across everything we have tracked for this account, which is a longer history than the 30-day window the rates above use. The multiple compares each post to this account's own median.
Buy or sell X accounts - escrow-protected
PlayerSells is an escrow marketplace for X accounts. Every deal is protected, with no middleman risk.
Reading these numbers
A typical post picks up 56 interactions against 322K followers, an engagement rate of 0.017%. Measured over 39 original posts, its engagement rate beats 32% of 6,874 tracked accounts of a similar size, which puts it in the middle of its size range rather than at either end. Posts are seen about 4.8K times each, and 1.17% of those impressions turn into an interaction. That is about 1.49% of the follower count, which is the gap between an audience on paper and an audience in a timeline. Posting runs at about 1.3 post a day over the last 30 days, though only 17% of days saw any activity at all. Most posts go out around 05:00 UTC, and Wednesday is the busiest day of the week. Of the 39 posts sampled, 97% carry an image or video. The account's strongest tracked post pulled 549 interactions, about 9.8x its own typical post.
- What is Royal Media's engagement rate on X?
- Royal Media (@royalmediatz) has an engagement rate of 0.017%, based on the median interactions across 39 original posts from the last 30 days against 321,648 followers. Replies, reposts and quote-posts of other people are excluded from that sample.
- Is that a good engagement rate?
- At 0.017%, Royal Media sits above the 25th percentile of the 65,980 accounts in this comparison. Those comparison accounts are all large ones, because our scanning cadence is weighted towards big accounts, so this is a ranking among peers of similar scale rather than a ranking across X.
- Does @royalmediatz have real engagement?
- Its engagement rate beats 32% of the tracked X accounts closest to it in follower count (6,874 accounts), which puts it in the middle of its size range group. Ranking inside a size band matters because engagement rate falls as accounts grow, so a raw rate would mostly re-measure the follower count. It is a starting point for a look at follower quality, not a verdict on it.
- When does @royalmediatz post?
- Most posts go out around 05:00 UTC, and Wednesday is its busiest day, at roughly 1.3 posts per day across the measured window.